1
Mwanzo 4:7
Neno: Bibilia Takatifu 2025
NENO
Ukifanya lililo sawa, je, hutakubalika? Lakini usipofanya lililo sawa, dhambi inakuvizia mlangoni mwako, ikikutamani wewe, lakini inakupasa uishinde.”
සසඳන්න
Mwanzo 4:7 ගවේෂණය කරන්න
2
Mwanzo 4:26
Naye Sethi akamzaa mwana, akamwita jina Enoshi. Wakati huo watu wakaanza kuliitia jina la BWANA.
Mwanzo 4:26 ගවේෂණය කරන්න
3
Mwanzo 4:9
Kisha BWANA akamuuliza Kaini, “Ndugu yako Abeli yuko wapi?” Akamjibu, “Sijui. Je, mimi ni mlinzi wa ndugu yangu?”
Mwanzo 4:9 ගවේෂණය කරන්න
4
Mwanzo 4:10
BWANA akasema, “Umefanya nini? Sikiliza! Damu ya ndugu yako inanililia mimi kutoka ardhini.
Mwanzo 4:10 ගවේෂණය කරන්න
5
Mwanzo 4:15
Lakini BWANA akamwambia, “La, sivyo! Ikiwa mtu yeyote atamuua Kaini, atalipizwa kisasi mara saba.” Kisha BWANA akamwekea Kaini alama ili yeyote angemwona asimuue.
Mwanzo 4:15 ගවේෂණය කරන්න
නිවස
බයිබලය
සැලසුම්
වීඩියෝ