Usionee Haya InjiliSample

Usione Aibu ya Injili bali Shirikiana katika Kuteseka kwa ajili ya Injili
Idadi ya wale wanaohubiri injili ya kweli inapungua kila siku, wakati aina mbadala za injili zinaonekana kuvutia zaidi. Kushikilia injili mara nyingi kutaleta mateso, kama vile kudharauliwa kudhihakiwa na pengine kupitia mateso. Kama vile Timotheo alivyojaribiwa kuona aibu ya injili, nasi pia tunaweza kuwa hivyo. Ni muhimu tukumbushwe tusione aibu ya injili. Lazima tuishikilie, tusimame na wale wanaoihubiri, na tuwe tayari kuvumilia mabaya kwa ajili ya injili.
Motisha ya kujitolea huku watoko kwa ukweli wa injili na kile ambacho injili yaahidi. Inatuambia kwamba Mungu ametukomboa kupitia Yesu kutoka dhambi zetu—sio kwa sababu ya kazi zetu bali kwa sababu ya neema yake na makusudi yake. Yesu, Mwokozi wetu, ameondoa mauti na kuleta uzima na kutokufa kupitia injili. Haki tunazopata kutoka kwa injili sio tu zinazostahili imani yetu thabiti bali pia kuwa tayari kuteseka kwa ajili yake.
Scripture
About this Plan

Tunaishi katika nyakati ambapo Injili ya kweli inaonekana kupoteza mvuto wake. Wengi hukimbilia kusikia yale yanayowapendeza, huku wachungaji wakijaribu kuifanya Injili ivutie zaidi. Kwa sababu hiyo, wengi wanaionea aibu Injili. Katika siku tano zijazo, tutatembea na Paulo kupitia 2 Timotheo, ambako anatuhimiza tusiionee aibu Injili, bali tuwe tayari kuteseka kwa ajili yake, kuilinda, kuendelea nayo, na kuihubiri.
More
Related Plans

Consider It All Joy

Charis Bible College Fall Bible Reading Plan

Prepare to Quit Alcohol

Christmas Miracles

Christmas: The Birth of Your Personal Miracle

The Benefit of Doubt: How Confronting Your Deepest Questions Can Lead to a Richer Faith

God's Goodness and Human Free Will

Shatter the Stigma

Solitude & Silence
