YouVersion Logo
Search Icon

Soma Biblia Kila Siku 09/2020Sample

Soma Biblia Kila Siku 09/2020

DAY 21 OF 30

Ezekieli anatumia mfano wa wafua fedha, dhahabu, shaba, bati, chuma na risasi kuonesha kuwa ni lazima kizazi cha Yerusalemu kilichochafuka kichomwe kwenye moto mkali. Kwa njia ya moto huo makapi yatateketea, na madini yatabaki safi. Kwa njia hiyo hiyo siku ya hukumu Mungu atatuhukumu kwa haki. Kwa njia ya hukjumu hiyo walio safi watabaki salama, lakini watenda dhambi wasiotaka kutubu wataangamia. Mpendwa msomaji na msikilizaji wa somo hili, jiepushe na adhabu kwa kutubu.

About this Plan

Soma Biblia Kila Siku 09/2020

Soma Biblia Kila Siku 09/20 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha 2 Wakorintho na Ezekieli. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Karibu kujiunga na mpango huu

More