Soma Biblia Kila Siku 09/2020Sample

Nabii anachora ardhini njia itokayo Babeli kisha anaonesha njiapanda ya kwenda ama Yerusalemu au Raba, mji mkuu wa Amoni. Tafsiri yake ni mfalme wa Babeli akiwa njiani kwenda vitani alilazimika kutumia uaguzi ili kuamua kama akapige Raba au Yerusalemu (m.21, Mfalme wa Babeli alisimama penye njia panda, penye kichwa cha njia hizo mbili, ili atumie uganga; aliitikisa mishale huko na huko, akaziuliza terafi, akayatazama maini). Ndipo akaamua kupiga Yerusalemu (m.22, Katika mkono wake wa kuume alikuwa na kura ya Yerusalemu, kuviweka vyombo vya kubomolea). Yerusalemu nao badala ya kumtegemea Mungu wakawategemea Wamisri, matokeo yake wakapigwa. Hapa tunajifunza kuwa tusipomtegemea Mungu tunaweza kupigwa na shetani.
Scripture
About this Plan

Soma Biblia Kila Siku 09/20 ni mpango mzuri wa kusoma Biblia kila siku sehemu kwa sehemu hasa katika kitabu cha 2 Wakorintho na Ezekieli. Mpango huu una maelezo mafupi yatakayokusaidia kuelewa zaidi Neno la Mungu. Karibu kujiunga na mpango huu
More
Related Plans

Even in the Shadows: Living With Depression

Marry Me

Deep Roots, Steady Faith

The Invitation of Christmas

Real. Loved. Strengthened: 7 Days With God

Where Are You? A Theology of Suffering

Parenting Through God’s Lens: Seeing Your Child the Way God Does

The Father Lens: Helping Your Kids See Who God Is Through Who You Are

The Single Season
