Logotipo da YouVersion
Ícone de Pesquisa

Mwanzo 26:4-5

Mwanzo 26:4-5 SCLDC10

Nitawazidisha wazawa wako wawe kama nyota za mbinguni na kuwapa nchi hizi zote. Kutokana na wazawa wako, mataifa yote duniani yatabarikiwa, kwa sababu Abrahamu alinitii mimi, akazingatia maagizo yangu, amri zangu, masharti yangu na sheria zangu.”

Ler Mwanzo 26

Vídeo para Mwanzo 26:4-5

Planos de Leitura e Devocionais gratuitos relacionados a Mwanzo 26:4-5