1
Mathayo 18:20
Biblia Habari Njema
BHN
Kwa maana popote pale wanapokusanyika wawili au watatu kwa jina langu, mimi nipo hapo kati yao.”
Compare
Mathayo 18:20ਪੜਚੋਲ ਕਰੋ
2
Mathayo 18:19
Tena nawaambieni, wawili miongoni mwenu wakikubaliana hapa duniani kuhusu jambo lolote la kuomba, Baba yangu wa mbinguni atawafanyia jambo hilo.
Mathayo 18:19ਪੜਚੋਲ ਕਰੋ
3
Mathayo 18:2-3
Yesu akamwita mtoto mmoja, akamsimamisha kati yao, kisha akasema, “Nawaambieni kweli, msipogeuka na kuwa kama watoto, hamtaingia kamwe katika ufalme wa mbinguni.
Mathayo 18:2-3ਪੜਚੋਲ ਕਰੋ
4
Mathayo 18:4
Yeyote anayejinyenyekesha kama mtoto huyu, huyo ndiye aliye mkubwa katika ufalme wa mbinguni.
Mathayo 18:4ਪੜਚੋਲ ਕਰੋ
5
Mathayo 18:5
Yeyote anayempokea mtoto mmoja kama huyu kwa jina langu, ananipokea mimi.
Mathayo 18:5ਪੜਚੋਲ ਕਰੋ
6
Mathayo 18:18
“Nawaambieni kweli, mtakachofunga duniani kitafungwa mbinguni, na mtakachofungua duniani kitafunguliwa mbinguni.
Mathayo 18:18ਪੜਚੋਲ ਕਰੋ
7
Mathayo 18:35
Na baba yangu aliye mbinguni atawafanyieni vivyo hivyo kama kila mmoja wenu hatamsamehe ndugu yake kwa moyo wake wote.”
Mathayo 18:35ਪੜਚੋਲ ਕਰੋ
8
Mathayo 18:6
“Yeyote atakayemkosesha mmoja wa hawa wadogo wanaoniamini, ingekuwa afadhali afungwe shingoni jiwe kubwa la kusagia na kuzamishwa kwenye kilindi cha bahari.
Mathayo 18:6ਪੜਚੋਲ ਕਰੋ
9
Mathayo 18:12
Mnaonaje? Mtu akiwa na kondoo 100, akimpoteza mmoja, hufanyaje? Huwaacha wale tisini na tisa mlimani, akaenda kumtafuta yule aliyepotea.
Mathayo 18:12ਪੜਚੋਲ ਕਰੋ