1
Mathayo 11:28
Biblia Habari Njema
BHN
Njoni kwangu nyinyi nyote msumbukao na kulemewa na mizigo, nami nitawapumzisha.
Compare
Mathayo 11:28ਪੜਚੋਲ ਕਰੋ
2
Mathayo 11:29
Jifungeni nira yangu, mkajifunze kwangu, maana mimi ni mpole na mnyenyekevu wa moyo, nanyi mtatulizwa rohoni mwenu.
Mathayo 11:29ਪੜਚੋਲ ਕਰੋ
3
Mathayo 11:30
Maana, nira niwapayo mimi ni laini, na mzigo wangu ni mwepesi.”
Mathayo 11:30ਪੜਚੋਲ ਕਰੋ
4
Mathayo 11:27
“Baba yangu amenikabidhi vitu vyote. Hakuna amjuaye Mwana ila Baba, wala amjuaye Baba ila Mwana, na yeyote yule ambaye Mwana anapenda kumfunulia.
Mathayo 11:27ਪੜਚੋਲ ਕਰੋ
5
Mathayo 11:4-5
Yesu akawajibu, “Nendeni mkamwambie Yohane mambo mnayoyasikia na kuyaona: Vipofu wanaona, viwete wanatembea, wenye ukoma wanatakaswa, viziwi wanasikia, wafu wanafufuliwa na maskini wanahubiriwa Habari Njema.
Mathayo 11:4-5ਪੜਚੋਲ ਕਰੋ
6
Mathayo 11:15
Mwenye masikio na asikie!
Mathayo 11:15ਪੜਚੋਲ ਕਰੋ