1
Mwanzo 5:24
Neno: Bibilia Takatifu 2025
NENO
Henoko akatembea na Mungu, kisha akatoweka, kwa sababu Mungu alimchukua.
Compare
Mwanzo 5:24ਪੜਚੋਲ ਕਰੋ
2
Mwanzo 5:22
Baada ya kumzaa Methusela, Henoko alitembea na Mungu miaka mia tatu, na akawa na watoto wengine wa kiume na wa kike.
Mwanzo 5:22ਪੜਚੋਲ ਕਰੋ
3
Mwanzo 5:1
Hii ni orodha iliyoandikwa ya vizazi vya Adamu. Mungu alipomuumba mwanadamu, alimfanya kwa sura ya Mungu.
Mwanzo 5:1ਪੜਚੋਲ ਕਰੋ
4
Mwanzo 5:2
Aliwaumba mwanaume na mwanamke, akawabariki. Walipokwisha kuumbwa, akawaita “Binadamu.”
Mwanzo 5:2ਪੜਚੋਲ ਕਰੋ
Home
ਬਾਈਬਲ
Plans
ਵੀਡੀਓ