Bibelappen er helt gratis, uten reklame og uten kjøp i appen. Skaff deg appen
BibleProject | Injili

90 dager
Mpango huu unakupeleka kwenye safari ya injili zote nne ndani ya siku tisini. Kila kitabu kina video maalumu iliyoandaliwa kukusaidia kupanua uelewa wako wa maandiko.
Tungependa kuwashukuru BibleProject kwa kutoa mpango huu. Kwa taarifa zaidi, tafadhali tembelea: www.bibleproject.com
