YouVersion လိုဂို
ရွာရန္ အိုင္ကြန္

Yohana 2:7-8

Yohana 2:7-8 RSUVDC

Yesu akawaambia, Jazeni mabalasi maji. Nao wakayajaza mpaka juu. Akawaambia, Sasa tekeni, mkampelekee mkuu wa sherehe. Wakapeleka.