1
Mattayo MT. 16:24
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
SWZZB1921
Wakati huo Yesu aliwaambia wanafunzi wake, Mtu atakae kuandama nyuma yangu, ajikane nafsi yake, ajitwike msalaba wake, anifuate.
Mampitaha
Mikaroka Mattayo MT. 16:24
2
Mattayo MT. 16:18
Nami nakuambia, Wewe ndiwe Petro, na jun ya mwamba huu nitalijenga kanisa langu; na milango ya kuzimu haitalishinda.
Mikaroka Mattayo MT. 16:18
3
Mattayo MT. 16:19
Nami nitakupa wewe funguo za ufalme wa mbinguni; na lo lote utakalolifunga duniani, litafungwa mbinguni: na lo lote utakalolifungua duniani, litakuwa limefunguliwa mbinguni.
Mikaroka Mattayo MT. 16:19
4
Mattayo MT. 16:25
Maana mtu atakae kuisalimisha roho yake, ataiangamiza; na mtu atakaeitoa roho yake kwa ajili yangu, ataiona.
Mikaroka Mattayo MT. 16:25
5
Mattayo MT. 16:26
Kwa maana atafaidiwa mtu nini akiupata ulimwengu wote, na kupata khasara ya roho yake? au mtu atatoa nini badala ya roho yake?
Mikaroka Mattayo MT. 16:26
6
Mattayo MT. 16:15-16
Akawaambia, Na ninyi mwaninena mimi kuwa nani? Simon Petro akajibu, akasema, Wewe ndiwe Kristo, Mwana wa Mungu aliye hayi.
Mikaroka Mattayo MT. 16:15-16
7
Mattayo MT. 16:17
Yesu akajibu, akamwambia, U kheri Simon bar Yunus; kwa kuwa nyama na damu hazikukufunulia haya, bali Baba yangu aliye mbinguni.
Mikaroka Mattayo MT. 16:17
Fidirana
Baiboly
Planina
Horonan-tsary