1
Walawi 20:13
Biblia Habari Njema
BHN
Kama mwanamume yeyote akilala na mwanamume mwenzake kana kwamba ni mwanamke, basi, wote wawili ni lazima wauawe kwani wamefanya jambo lililo chukizo; watawajibika kwa umwagaji wa damu yao wenyewe.
비교
Walawi 20:13 살펴보기
2
Walawi 20:7
Kwa hiyo, jiwekeni wakfu muwe watakatifu; kwani mimi ndimi Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu.
Walawi 20:7 살펴보기
3
Walawi 20:26
Kwa kuwa mimi Mwenyezi-Mungu ni mtakatifu, nami nimewatenga nyinyi na mataifa mengine ili muwe mali yangu, mtakuwa watakatifu.
Walawi 20:26 살펴보기
4
Walawi 20:8
Shikeni masharti yangu na kuyatekeleza. Mimi ndimi Mwenyezi-Mungu ninayewatakasa.
Walawi 20:8 살펴보기