1
Kutoka 1:17
Biblia Habari Njema
BHN
Lakini kwa kuwa wakunga hao walimcha Mungu, hawakufanya kama walivyoamriwa na mfalme wa Misri, bali waliwaacha watoto wa kiume wa Waisraeli waishi.
비교
Kutoka 1:17 살펴보기
2
Kutoka 1:12
Lakini kadiri walivyoteswa ndivyo Waisraeli walivyozidi kuongezeka na kuenea nchini. Hivyo Wamisri wakawaogopa sana watu wa Israeli.
Kutoka 1:12 살펴보기
3
Kutoka 1:21
Na kwa vile wakunga hao walimcha Mungu, Mungu akawajalia kupata jamaa zao wenyewe.
Kutoka 1:21 살펴보기
4
Kutoka 1:8
Basi, akatokea mfalme mwingine huko Misri ambaye hakumjua Yosefu.
Kutoka 1:8 살펴보기