1
Yohana MT. 6:35
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
SWZZB1921
Yesu akawaambia, Mimi ni mkate wa uzima; yeye ajae kwangu hataona njaa kabisa, nae aniaminiye hataona kiu kamwe.
비교
Yohana MT. 6:35 살펴보기
2
Yohana MT. 6:63
Roho ndiyo itiayo uzima; mwili haufai kitu; maneno ninayowaambieni ni roho, tena ni uzima.
Yohana MT. 6:63 살펴보기
3
Yohana MT. 6:27
Msikitendee kazi chakula chenye kuharibika, bali chakula kidumucho hatta uzima wa milele, Mwana wa Adamu atakachowapeni: maana huyu ndiye aliyetiwa muhuri na Baba, yaani, Mungu.
Yohana MT. 6:27 살펴보기
4
Yohana MT. 6:40
Na mapenzi yake aliyenipeleka ni haya ya kwamba killa amtazamae Mwana na kumwamini awe ua uzima wa milele, nami nitamfufua siku ya mwisho.
Yohana MT. 6:40 살펴보기
5
Yohana MT. 6:29
Yesu akajibu, akawaambia, Hii ni kazi ya Mungu, mmwamini yeye aliyetumwa nae.
Yohana MT. 6:29 살펴보기
6
Yohana MT. 6:37
Yote anipayo Bwana itakuja kwangu; nae ajae kwangu sitamtupa nje kamwe.
Yohana MT. 6:37 살펴보기
7
Yohana MT. 6:68
Bassi Simon Petro akamjibu, Bwana! twende kwa nani? Wewe una maneno ya uzima wa milele.
Yohana MT. 6:68 살펴보기
8
Yohana MT. 6:51
Mimi ni mkate wa uzima ulioshuka kutoka mbinguni; mtu akila mkate huu, ataishi milele: na mkate nitakaotoa mimi ni nyama yangu nitakayotoa kwa ajili ya uzima wa ulimwengu.
Yohana MT. 6:51 살펴보기
9
Yohana MT. 6:44
Hakuna mtu awezae kuja kwangu, asipovutwa na Baba aliyenipeleka: nami nitamfufua siku ya mwisho.
Yohana MT. 6:44 살펴보기
10
Yohana MT. 6:33
Kwa maana mkate wa Mungu ni ule ushukao kutoka mbinguni na kuupa ulimwengu uzima.
Yohana MT. 6:33 살펴보기
11
Yohana MT. 6:48
Mimi ni mkate wa uzima.
Yohana MT. 6:48 살펴보기
12
Yohana MT. 6:11-12
Bassi Yesu akaitwaa mikate, akashukuru, akawagawia walioketi; kadhalika katika wale samaki kwa kadiri walivyotaka. Waliposhiba, akawaambia wanafunzi wake, Kusanyeni vipande vilivyobaki, kitu kisipotee.
Yohana MT. 6:11-12 살펴보기
13
Yohana MT. 6:19-20
Bassi wakavuta makasia kadiri ya stadio ishirini na tano au thelathini, wakamwona Yesu anakwenda juu ya bahari, anakikaribia chombo: wakaogopa. Nae akawaambia. Ni mimi, msiogope.
Yohana MT. 6:19-20 살펴보기
홈
성경
묵상
동영상