1
Yohana 4:24
Neno: Bibilia Takatifu 2025
NENO
Mungu ni Roho, na wote wanaomwabudu imewapasa kumwabudu katika roho na kweli.”
ತಾಳೆಮಾಡಿ
Yohana 4:24 ಅನ್ವೇಷಿಸಿ
2
Yohana 4:23
Lakini saa yaja, tena ipo, ambapo wale waabuduo halisi watamwabudu Baba katika roho na kweli. Kwa maana Baba anawatafuta watu wanaomwabudu kwa namna hii.
Yohana 4:23 ಅನ್ವೇಷಿಸಿ
3
Yohana 4:14
Lakini yeyote anywaye maji nitakayompa hataona kiu kamwe. Maji nitakayompa yatakuwa ndani yake chemchemi ya maji, yakibubujika uzima wa milele.”
Yohana 4:14 ಅನ್ವೇಷಿಸಿ
4
Yohana 4:10
Yesu akamjibu, “Kama ungeijua karama ya Mungu, na ni nani anakuomba maji ya kunywa, ungemwomba yeye, naye angekupa maji ya uzima.”
Yohana 4:10 ಅನ್ವೇಷಿಸಿ
5
Yohana 4:34
Lakini Yesu akawajibu, “Chakula changu ni kufanya mapenzi ya Mungu ambaye amenituma na kuikamilisha kazi yake.
Yohana 4:34 ಅನ್ವೇಷಿಸಿ
6
Yohana 4:11
Yule mwanamke akamjibu, “Bwana, wewe huna chombo cha kutekea maji na kisima hiki ni kirefu. Hayo maji ya uzima utayapata wapi?
Yohana 4:11 ಅನ್ವೇಷಿಸಿ
7
Yohana 4:25-26
Yule mwanamke akamwambia, “Ninafahamu kwamba Masiya” (aitwaye Kristo) “anakuja. Yeye akija, atatueleza mambo yote.” Yesu akamwambia, “Mimi ninayezungumza nawe, ndiye.”
Yohana 4:25-26 ಅನ್ವೇಷಿಸಿ
8
Yohana 4:29
“Njooni mkamwone mtu aliyeniambia kila kitu nilichotenda! Je, yawezekana huyu ndiye Kristo?”
Yohana 4:29 ಅನ್ವೇಷಿಸಿ
ಮುಖಪುಟ
ಬೈಬಲ್
ಯೋಜನೆಗಳು
ವೀಡಿಯೊಗಳು