Akara Njirimara YouVersion
Akara Eji Eme Ọchịchọ

Yeremia 18:7-8

Yeremia 18:7-8 SWC02

Wakati wowote ninaweza kukusudia juu ya taifa au ufalme kwamba nitaliongoa, kulipindua na kuliangamiza. Lakini taifa hilo likigeuka na kuacha uovu wake, basi, mimi nitaacha kulitendea mambo yale niliyokusudia.