Akara Njirimara YouVersion
Akara Eji Eme Ọchịchọ

Kumbukumbu la Sheria 18:22

Kumbukumbu la Sheria 18:22 SWC02

Kama nabii akisema kitu aseme ni kwa jina la Yawe, na kitu hicho hakifanyiki au hakiko kweli, jambo hilo Yawe hakulisema; nabii amelisema kwa kiburi, nanyi musitishwe na jambo hilo.