Akara Njirimara YouVersion
Akara Eji Eme Ọchịchọ

Kumbukumbu la Sheria 16:16

Kumbukumbu la Sheria 16:16 SWC02

“Wanaume wote wa taifa lenu watakuja mbele ya Yawe, Mungu wenu, mara tatu kila mwaka, pahali ambapo Yawe, Mungu wenu atachagua: wakati wa sikukuu ya Pasaka, sikukuu ya kuvuna na wakati wa sikukuu ya vibanda. Wasitokee mbele ya Yawe mikono mitupu.