Akara Njirimara YouVersion
Akara Eji Eme Ọchịchọ

Kumbukumbu la Sheria 11:20-21

Kumbukumbu la Sheria 11:20-21 SWC02

Muyaandike kwenye miimo ya milango yenu na milango ya miji yenu, kusudi ninyi na watoto wenu mupate kuishi maisha marefu katika inchi ambayo Yawe, Mungu wenu, aliapa kuwapa babu zenu, siku zote mbingu zitakapodumu juu ya dunia.