1
Yohana MT. 5:24
New Testament in Swahili (Zanzibar) Revised Edition 1921
SWZZB1921
Amin, amin, nawaambieni, Alisikiae neno langu na kumwamini yeye aliyenipeleka ana uzima wa milele, wala hafiki hukumuni, bali amepita toka mauti hatta uzima.
Lee anya n'etiti ihe abụọ
Nyochaa Yohana MT. 5:24
2
Yohana MT. 5:6
Yesu alipomwona huyu amelala, akijua ya kuwa amekuwa hali hii siku nyingi, akamwambia, Wataka kuwa nizima?
Nyochaa Yohana MT. 5:6
3
Yohana MT. 5:39-40
Mwayachunguza maandiko, kwa sababu mnadhani kwamba ninyi mna uzima wa milele ndani yake: na hayo ndiyo yanayonishuhudia: wala hamtaki kuja kwangu, mpate kuwa na uzima.
Nyochaa Yohana MT. 5:39-40
4
Yohana MT. 5:8-9
Yesu akamwambia, Simama, jitwike kitanda chako, ukaende. Marra yule mtu akawa mzima, akajitwika kitanda chake, akaenda. Bassi ilikuwa sabato siku ile.
Nyochaa Yohana MT. 5:8-9
5
Yohana MT. 5:19
Bassi Yesu akajibu, akawaambia, Amin, amin, nawaambieni, Mwana hawezi kutenda neno kwa nafsi yake, illa lile amwonalo Baba analitenda; kwa maana yote atendayo yeye, hayo na Mwana ayatenda vilevile.
Nyochaa Yohana MT. 5:19
Ebe Mmepe Nke Mbụ Nke Ngwá
Akwụkwọ Nsọ
Atụmatụ Ihe Ogụgụ Gasị
Vidiyo Gasị