1
ZAKARIA 10:1
BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002
SWC02
Muombe Yawe awape mvua za masika. Yawe ndiye anayeleta mawingu ya mvua; ndiye anayewapa watu mvua za manyunyu, na kustawisha mimea katika shamba kwa ajili ya wote.
Lee anya n'etiti ihe abụọ
Nyochaa ZAKARIA 10:1
2
ZAKARIA 10:12
Mimi nitawaimarisha watu wangu, nao watanitii na kuishi kwa kunipendeza. Ni mimi Yawe ninayesema hivyo.
Nyochaa ZAKARIA 10:12