1
Kumbukumbu la Sheria 28:1
BIBLIA Maandiko Matakatifu Kwa Watu Wote 2002
SWC02
“Kama mukiitii sauti ya Yawe, Mungu wenu, na kushika kwa uangalifu amri ambazo ninawaamuru leo, yeye atawaweka juu ya mataifa yote katika dunia.
Lee anya n'etiti ihe abụọ
Nyochaa Kumbukumbu la Sheria 28:1
2
Kumbukumbu la Sheria 28:2
Kama mukitii sauti ya Yawe, Mungu wenu, mutapewa baraka hizi
Nyochaa Kumbukumbu la Sheria 28:2
3
Kumbukumbu la Sheria 28:13
Yawe, Mungu wenu, atawafanya kuwa wa kwanza kwa nguvu na sio wa mwisho. Mutaendelea mbele na sio kurudi nyuma kama mukishika amri zake ambazo ninawapa leo na kuwa waangalifu kwa kuzitimiza
Nyochaa Kumbukumbu la Sheria 28:13
4
Kumbukumbu la Sheria 28:12
Yawe atawafungulia hazina yake nzuri kutoka mbinguni na kunyesha mvua katika inchi kwa wakati wake, na kubariki kazi zenu. Mutakopesha mataifa mengi, lakini ninyi hamutakopa.
Nyochaa Kumbukumbu la Sheria 28:12
5
Kumbukumbu la Sheria 28:7
Waadui zenu wakiwashambulia, Yawe atawapa ushindi juu yao. Wakikuja kuwashambulia kwa njia moja watawakimbia kwa njia saba.
Nyochaa Kumbukumbu la Sheria 28:7
6
Kumbukumbu la Sheria 28:8
Baraka za Yawe zitakuwa katika gala zenu za ngano na katika shuguli zenu zote. Atawabariki katika inchi ambayo anawapa.
Nyochaa Kumbukumbu la Sheria 28:8
7
Kumbukumbu la Sheria 28:6
Mutabarikiwa munaporudi kwa nyumba na munapotoka inje.
Nyochaa Kumbukumbu la Sheria 28:6
8
Kumbukumbu la Sheria 28:3
“Miji yenu itabarikiwa na mashamba yenu.
Nyochaa Kumbukumbu la Sheria 28:3
9
Kumbukumbu la Sheria 28:4
“Mutabarikiwa mupate wazao wengi, mavuno mengi, ngombe na kondoo wengi.
Nyochaa Kumbukumbu la Sheria 28:4
10
Kumbukumbu la Sheria 28:9
“Yawe atawafanya kuwa watu wake watakatifu kama vile alivyowaahidi, kama mukitii amri zake yeye Yawe, Mungu wenu, na kufuata njia zake.
Nyochaa Kumbukumbu la Sheria 28:9
11
Kumbukumbu la Sheria 28:5
“Vikapu vyenu vya ngano vitabarikiwa na vyombo vyenu vya kupondea mukate.
Nyochaa Kumbukumbu la Sheria 28:5
12
Kumbukumbu la Sheria 28:11
Yawe atawafanikisha kwa wingi: watoto, mifugo na mavuno katika shamba katika inchi aliyowaapia wazee wenu kwamba atawapa.
Nyochaa Kumbukumbu la Sheria 28:11
13
Kumbukumbu la Sheria 28:10
Mataifa yote katika dunia yakiona kwamba ninyi munaitwa kwa jina la Yawe yatawaogopa.
Nyochaa Kumbukumbu la Sheria 28:10
14
Kumbukumbu la Sheria 28:14
bila kugeuka kuume au kushoto kwa kufuata miungu mingine na kuitumikia.
Nyochaa Kumbukumbu la Sheria 28:14
15
Kumbukumbu la Sheria 28:15
“Lakini kama hamutaitii sauti ya Yawe, Mungu wenu, kama hamutakuwa waangalifu kushika amri zake zote na masharti ninayowaamuru leo, basi mutapatwa na laana hizi zote
Nyochaa Kumbukumbu la Sheria 28:15