YouVersioni logo
Search Icon

Kutoka 40:34-35

Kutoka 40:34-35 SWC02

Kisha, lile wingu likafunika lile hema la mukutano na utukufu wa Yawe ukajaza hema. Musa akashindwa kuingia ndani ya hema la mukutano kwa sababu hilo wingu lilikaa juu yake na utukufu wa Yawe ukajaa mule.

Free Reading Plans and Devotionals related to Kutoka 40:34-35