YouVersioni logo
PiibelPlaanidVideod
Laadi alla rakendus
Keele Valija
Otsingu Ikoon

Populaarsed piiblisalmid Mathayo 22

1

Mathayo 22:37-39

Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi

TKU

Yesu akajibu, “‘Mpende Bwana Mungu wako kwa moyo wako wote, kwa roho yako yote na akili yako yote.’ Hii ndiyo amri ya kwanza na ya muhimu zaidi. Na amri ya pili ni kama ya kwanza: ‘Mpende jirani yako kama unavyojipenda wewe mwenyewe.’

Võrdle

Avasta Mathayo 22:37-39

2

Mathayo 22:40

Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi

TKU

Sheria yote na maandiko ya manabii yamejengwa katika amri hizi mbili.”

Võrdle

Avasta Mathayo 22:40

3

Mathayo 22:14

Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi

TKU

Ndiyo, watu wengi wamealikwa, lakini wachache tu ndiyo waliochaguliwa.”

Võrdle

Avasta Mathayo 22:14

4

Mathayo 22:30

Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi

TKU

Watu watakapofufuliwa kutoka kwa wafu, wanaume hawataoa wake na wanawake hawataozwa kwa wanaume. Kila mtu atakuwa kama malaika walio mbinguni.

Võrdle

Avasta Mathayo 22:30

5

Mathayo 22:19-21

Agano Jipya: Tafsiri ya Kusoma-Kwa-Urahisi

TKU

Nionesheni sarafu inayotumika kulipa kodi.” Wakamwonesha Yesu sarafu iliyotengenezwa kwa fedha. Kisha Yesu akauliza, “Picha iliyo kwenye sarafu hii ni ya nani? Na jina lililo kwenye sarafu hii ni la nani?” Wakajibu, “Ni picha ya Kaisari na ni jina la Kaisari.” Ndipo Yesu akawajibu, “Mpeni Kaisari vilivyo vyake na mpeni Mungu vilivyo vyake.”

Võrdle

Avasta Mathayo 22:19-21

Tasuta lugemisplaanid ja palveraamatud seoses Mathayo 22

Eelmine peatükk
Järgmine peatükk
YouVersion

Julgustades ja väljakutseid esitades otsida iga päev lähedust Jumalaga.

Teenistus

Lehe kohta

Karjäärid

Vabatahtlik

Blogi

Vajuta

Kasulikud lingid

Abi

Annetage

Piibli versioonid

Audiopiiblid

Piibli keeled

Päeva kirjakoht


Digitaalne ministeerium

Life.Church
English (US)

©2026 Life.Church / YouVersion

PrivaatsuspoliitikaTingimused
Haavatavuste avaldamise programm
FacebookTwitterInstagramYouTubePinterest