Logo de YouVersion
Ícono Búsqueda

BibleProject | Mafunzo ya Haraka ya Mtume Paulo

BibleProject | Mafunzo ya Haraka ya Mtume Paulo

10 días

Katika mpango huu wa siku kumi, utatambulishwa kwa barua nne za Mtume Paulo. Katika kitabu cha Wagalatia Paulo anazungumzia suala la mataifa kuzingatia torati. Katika waefeso anaonyesha jinsi injili inavyoleta upatanisho kati ya Mungu na mwanadamu na kati ya mwanadamu na mwanadamu. Katika Wafilipi anawatia moyo wakristo kwa kutumia mfano wa upendo wa kujitolea wa Kristo. Na katika Wathesalonike, anawatia moyo Wakristo wanaoteseka wawe na tumaini ndani ya Kristo.

Tungependa kumshukuru BibleProject kwa kutoa mpango huu. Kwa habari zaidi, tafadhali tembelea: https://bibleproject.com/swahili/
 
Acerca del Editor

YouVersion utiliza cookies para personalizar su experiencia. Al usar nuestro sitio web, acepta nuestro uso de cookies como se describe en nuestra Política de privacidad