Logo de YouVersion
Ícono Búsqueda

Mwanzo 3:1

Mwanzo 3:1 NEN

Basi nyoka alikuwa mjanja kuliko wanyama pori wote ambao BWANA Mungu aliwafanya. Nyoka akamwambia mwanamke, “Ati Mungu alisema, ‘Kamwe msile matunda ya mti wowote wa bustanini’?”

Planes y devocionales gratis relacionados con Mwanzo 3:1