YouVersion Logo
Search Icon

Zaburi 119:92-94

Zaburi 119:92-94 BHN

Kama sheria yako isingekuwa furaha yangu, ningalikwisha angamia kwa taabu zangu. Sitasahau kamwe kanuni zako, maana kwa hizo umenipa uhai. Mimi ni wako, uniokoe, maana nimejitahidi kuzishika kanuni zako.

Verse Images for Zaburi 119:92-94

Zaburi 119:92-94 - Kama sheria yako isingekuwa furaha yangu,
ningalikwisha angamia kwa taabu zangu.
Sitasahau kamwe kanuni zako,
maana kwa hizo umenipa uhai.
Mimi ni wako, uniokoe,
maana nimejitahidi kuzishika kanuni zako.Zaburi 119:92-94 - Kama sheria yako isingekuwa furaha yangu,
ningalikwisha angamia kwa taabu zangu.
Sitasahau kamwe kanuni zako,
maana kwa hizo umenipa uhai.
Mimi ni wako, uniokoe,
maana nimejitahidi kuzishika kanuni zako.