YouVersion Logo
Search Icon

Zaburi 116:1-2

Zaburi 116:1-2 BHN

Nampenda Mwenyezi-Mungu, kwa maana anisikia, maana amesikia kilio cha ombi langu. Yeye amenitegea sikio, hivyo nitamwomba muda wote niishio.

Verse Image for Zaburi 116:1-2

Zaburi 116:1-2 - Nampenda Mwenyezi-Mungu,
kwa maana anisikia,
maana amesikia kilio cha ombi langu.
Yeye amenitegea sikio,
hivyo nitamwomba muda wote niishio.

Free Reading Plans and Devotionals related to Zaburi 116:1-2