YouVersion Logo
Search Icon

Matendo 2:44-45

Matendo 2:44-45 SWZZB1921

Na wote walioamini walikuwa mahali pamoja, na kuwa na vitu vyote shirika, wakiuza mali zao, na vitu vyao walivyokuwa navyo, na kuwagawia watu wote kama killa mtu alivyokuwa na haja.

Free Reading Plans and Devotionals related to Matendo 2:44-45