YouVersion Logo
Search Icon

Kumbukumbu la Sheria 8:7-9

Kumbukumbu la Sheria 8:7-9 SCLDC10

Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu anawaleteni kwenye nchi nzuri, nchi yenye vijito na chemchemi, na maji yabubujikayo kutoka bondeni na milimani; nchi yenye ngano na shayiri, mizabibu, mitini, mikomamanga, mizeituni na asali. Huko mtapata chakula tele na hamtapungukiwa kitu. Miamba yake ina chuma, na kwenye milima yake mnaweza kuchimba shaba.

Free Reading Plans and Devotionals related to Kumbukumbu la Sheria 8:7-9