YouVersion Logo
Search Icon

Kumbukumbu la Sheria 7:6

Kumbukumbu la Sheria 7:6 SCLDC10

Fanyeni hivyo kwa kuwa nyinyi mmewekwa wakfu kwa Mwenyezi-Mungu, Mungu wenu. Kati ya watu wote ulimwenguni aliwachagua nyinyi ili muwe taifa lake mwenyewe.