YouVersion Logo
Search Icon

Yn 7:38-39

Yn 7:38-39 SUV

Aniaminiye mimi, kama vile maandiko yalivyonena, mito ya maji yaliyo hai itatoka ndani yake. Na neno hilo alilisema katika habari ya Roho, ambaye wale wamwaminio watampokea baadaye; kwa maana Roho alikuwa hajaja, kwa sababu Yesu alikuwa hajatukuzwa.

Free Reading Plans and Devotionals related to Yn 7:38-39