1
Yohana 5:24
Neno: Bibilia Takatifu 2025
NENO
“Amin, amin nawaambia, yeyote anayesikia maneno yangu na kumwamini yeye aliyenituma anao uzima wa milele, naye hatahukumiwa, bali amepita kutoka mautini na kuingia uzimani.
Compare
Explore Yohana 5:24
2
Yohana 5:6
Yesu alipomwona akiwa amelala hapo, na akijua amekuwa katika hali hiyo kwa muda mrefu, akamwambia, “Je, wataka kuponywa?”
Explore Yohana 5:6
3
Yohana 5:39-40
Ninyi mnachunguza Maandiko mkidhani ya kuwa ndani yake mna uzima wa milele. Maandiko haya ndio yanayonishuhudia mimi. Lakini mnakataa kuja kwangu ili mpate uzima.
Explore Yohana 5:39-40
4
Yohana 5:8-9
Yesu akamwambia, “Inuka! Chukua mkeka wako na uende.” Mara yule mtu akapona, akachukua mkeka wake, akaanza kutembea. Basi siku hiyo ilikuwa siku ya Sabato.
Explore Yohana 5:8-9
5
Yohana 5:19
Yesu akawaambia, “Amin, amin nawaambia, Mwana hawezi kufanya jambo lolote peke yake. Yeye aweza tu kufanya lile analomwona Baba yake akifanya, kwa maana lolote afanyalo Baba, Mwana pia hufanya vivyo hivyo.
Explore Yohana 5:19
Home
Bible
Plans
Videos